RAIS WA AFRIKA KUSINI Cyril
Ramaphosa Amesema Matokeo Ya Uchaguzi Yaliyotangazwa Na Tume Huru Ya Uchaguzi Ya
Nchi Hiyo Ni Ushindi Wa Demokrasia.
Katika Matokeo
Hayo, African National Congress (ANC) Imepata Asilimia 40.18, Ikifuatiwa Na Democratic
Alliance (DA) Asilimia 21.81, Umkhoto We Sizwe (MK) Asilimia 14.58, Economic
Freedom Fighters (EFF) Asilimia 9.52, Huku Vyama Vingine Vidogo Vikikusanya
Jumla Ya Asilimia 13.91.
Matokeo Rasmi Yameonyesha
ANC Imeshinda Viti 159 Katika Bunge La Taifa Lenye Viti 400, Ikishuka Kutoka
230 Hapo Awali.
Tags
POLITICS