MSANII Wa Rap Kutoka
Kenya, Cmb Prezzo Alianguka Ghafla Na Kupoteza Fahamu Wakati Wa Uzinduzi Wa
Reality Tv Show Ya Bahati Jana, "The Bahati's Empire" Ambapo Walinzi
Na Wageni Wengine Walionekana Wakipamba Kumsaidia Msanii Huyo Baada Ya Tukio
Hilo Kutokea.
Bado Sababu Ya Kuanguka Kwake Haijulikani, Na Uongozi Wa @Prezzo254 Wala Waandaaji
Wa Tukio Hawajatoa Taarifa Yoyote Kuhusu Hali Hiyo.
Tags
ENTERTAINMENT