WAZAZI WA WANAFUNZI WATAKAO PEANA MIMBA KUFUNGWA JELA - ESTER MAHAWE



MKUU WA WILAYA Ya Mbozi Ester Mahawe Na Kamati Ya Ulinzi Na Usalama Wilayani Humo Wamepanga Kuwakamata Familia Za Waliompa Mwanafunzi Mimba Ili Kukomesha Vitendo Vya Mimba Za Utotoni Wilayani Humo.

Dc Mahawe Ameyasema Hayo Akiwa Katika Kata Ya Isansa Wakati Wa Ziara Ya Mkuu Wa Mkoa Wa Songwe Daniel Chongolo Alipokuwa Akikagua Miradi Ya Maendeleo.

Previous Post Next Post

ADVERT

ADVERT