MAHAKAMA Ya Afrika Ya Haki
Za Binadamu Na Watu (AfCHPR) Kwa Mara Nyingine Imeiamuru Serikali Ya Tanzania Kufuta
Adhabu Ya Kifo Kama Sharti La Lazima Kwenye Sheria Zake, Huku Ikiipa Miezi Sita
Kuanzia Sasa Kutekeleza Amri Hiyo.
Mahakama Hiyo Imetoa Amri
Hiyo Katika Hukumu Iliyoitoa Juni 4, 2024 Kutokana Na Shauri La Rufaa
Lililofunguliwa Mahakamani Hapo Na Mfungwa Aliyehukumiwa Adhabu Ya Kunyongwa
Hadi Kufa, Dominick Damian, Dhidi Ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
Tags
INTERNATIONAL