SHAHIDI AMTAMBUA JAJI KAMA MTUHUMIWA WA MAUAJI


KATIKA Hali Isiyotarajiwa, Shahidi Wa Tatu Kwenye Kesi Inayomkabili Zephania Ndalawa Anayeshtakiwa Kwa Kosa La Kuua Kwa Kukusudia, Amemtambua Jaji Griffin Mwakapeje Kama Mtuhumiwa Wa Mauaji Ya Thomas Masumbuko.

Shahidi Huyo, Salome Cheyo (9) Akiongozwa Na Mwendesha Mashtaka Wa Serikali, Musa Mlawa Alipotakiwa Kwenda Kumuonyesha Mtuhumiwa Kama Anamkumbuka, Alitoka Kizimbani Na Kwenda Hadi Alipo Jaji Na Kumuonyesha Kuwa Ndiye.

JISAJIRI SASA NA PLAY MASTER BET - BETI KIRAHISI

BONYEZA HAPA KUJISAJIRI



Previous Post Next Post

ADVERT

ADVERT