PETER MSIGWA AILILIA CHADEMA KUNYIMWA HAKI KATIKA UCHAGUZI


ALIYEKUWA Mgombea Nafasi Ya Uenyekiti Wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA) Kanda Ya Nyasa, Peter Msigwa Ametangaza Kukata Rufaa Kwenye Chama Chake Kwa Madai Ya Kutoetendewa Haki Katika Uchaguzi Huo Ikiwemo Baadhi Ya Wajumbe Kutoruhusiwa Kupiga Kura Licha Ya Katiba Ya Chama Kuwatambua Kama Wapiga Kura.

Hatua Ya Msigwa Inakuja Baada Ya Chama Hicho Kufanya Uchaguzi Katika Kanda Hiyo Na Joseph Mbilinyi Maarufu Kama Sugu Kupita Kwa Kura 54 Huku Msigwa Akipata Kura 52.

Previous Post Next Post

ADVERT

ADVERT