UKIMYA
Wa Jeshi La Polisi Uliotanda Kuhusu Tuhuma Zinazomkabili Mkuu Wa Mkoa Mmoja Wa Kanda
Ya Ziwa, Anayetuhumiwa Kumlawiti Mwanafunzi Umegeuka Gumzo Mitandao Ya Kijamii.
Tukio
Hilo Limeibua Mijadala Maeneo Mbalimbali, Hususan Mitandoni Kuanzia Juzi,
Baadhi Ya Wachangiaji Kwenye Mjadala Huo Wakilitaka Jeshi La Polisi Kutoa Tamko
Na Kumfikisha Mhusika Kwenye Vyombo Vya Sheria.
JISAJIRI
SASA NA PLAY MASTER BET - BETI KIRAHISI
BONYEZA
HAPA KUJISAJIRI
Tags
LOCAL