BREAKING NEWS: JOE BIDEN AJITOA KUGOMBEA URAIS USA


MGOMBEA URAIS Wa Marekani Kupitia Chama Cha Democratic Joe Biden, Amejiondoa Katika Kinyang'anyiro Hicho Cha Kuwania Nafasi Hiyo Ya Urais Kwa Msimu Wa Pili Ambapo Uchaguzi Huo Unatarajiwa Kufanyika Mwishoni Mwa Mwaka Huu 2024.

 

Biden Amesema Sababu Kubwa Ya Kujiondoa Ni Kwaajili Ya Nchi Yake Na Pia Chama Chake Ili Kutoa Nafasi Ya Mtu Mwingine Atakayegombea Katika Chama Chake Na Yeye Anataka Kuwekeza Nguvu Zaidi Ili Kumalizia Kipindi Chake Cha Miezi Minne Cha Urais Kilichobaki.






JISAJIRI SASA NA PLAY MASTER BET - BETI KIRAHISI

BONYEZA HAPA KUJISAJIRI




Previous Post Next Post

ADVERT

ADVERT