BREAKING NEWS: NAFASI 9,483 MPYA ZA AJIRA KATIKA SEKTA YA AFYA.


SERIKALI Imetangaza Nafasi 9,483 Mpya Za Ajira Katika Sekta Ya Afya.

Tangazo Hilo La Nafasi Za Ajira Limetolewa Jana Jumapili Julai 7, 2024 Na Katibu Wa Sekretarieti Ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma Kwa Niaba Ya Sekretarieti Za Mikoa Na Mamlaka Ya Serikali Za Mitaa.

"Sekretarieti Ya Ajira Inakaribisha Maombi Ya Kazi Kutoka Kwa Watanzania Wenye Sifa Na Uwezo Wa Kujaza Nafasi 9,483 Kama Ilivyoainishwa Katika Tangazo Hili," Imeeleza Taarifa Hiyo.

Imeeleza Mwisho Wa Kutuma Maombi Ya Kazi Ni Julai 20, 2024 Na Moja Ya Sifa Iliyotajwa Ni Mwombaji Kutozidi Umri Wa Miaka 45.

JISAJIRI SASA NA PLAY MASTER BET - BETI KIRAHISI

BONYEZA HAPA KUJISAJIRI


Previous Post Next Post

ADVERT

ADVERT