SABABU ZA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MAWASILIANO KUMFUKUZA DC WA UBUNGO


BAADA Ya Mkuu Wa Wilaya Ya Ubungo, Hassan Bomboko Kuwasili Eneo La Soko La Simu2000, Wafanyabiashara Wamemtaka Aondoke.

Hatua Ya Kumfukuza Kiongozi Huyo Inatokana Na Kile Walichodai Hawana Imani Naye Katika Kushughulikia Changamoto Yao.

Mzizi Wa Maandamano Na Mgomo Wa Wafanyabiashara Katika Soko Hilo Ni Uamuzi Wa Manispaa Ya Ubungo Kutangaza Kulikabidhi Eneo Hilo Kwa Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart).

Manispaa Hiyo Imetoa Tangazo Hilo, Julai 4, 2024 Baada Ya Kikao Cha Baraza La Madiwani.

Mwishowe DC Bomboko Ameondoka Bila Kuzungumza Chochote Katika Soko Hilo Baada Ya Wafanyabiashara Hao, Kumtaka Aondoke Wakisema Hawako Tayari Kumsikiliza.

JISAJIRI SASA NA PLAY MASTER BET - BETI KIRAHISI

BONYEZA HAPA KUJISAJIRI


Previous Post Next Post

ADVERT

ADVERT