MBOSO ARUSHIANA MANENO NA SHABIKI


STAA Wa Muziki Kutoka Lebo Ya Wcb Alijikuta Akishindwa Kumvumilia Shabiki Wa Muziki Aliyetambulisha Kutoka Canada Ambaye Alidai Mbosso Na Rayvanny Hawakufanya Show Zao.

Shabiki Huyo Anayeitwa Elly David Alilalamika Kwa Wasanii Kutofika Eneo La Show Yao Na Anasema Hawawezi Kupata Show Tena Canada.

Mbosso Amejibu Kuwa Yeye Hajuwa Na Show Canada Huku Shabiki Akidai Walilipwa Dola Elfu Nne Ambayo Ni Zaidi Ya Milioni 10 Za Kitanzania.

JISAJIRI SASA NA PLAY MASTER BET - BETI KIRAHISI

BONYEZA HAPA KUJISAJIRI


Previous Post Next Post

ADVERT

ADVERT