SAMSUNG INATARAJIA FAIDA KUONGEZEKA KWA ZAIDI YA 1,400%


KAMPUNI YA SAMSUNG Electronics Inatarajia Faida Yake Kwa Miezi Mitatu Hadi Juni 2024 Kupanda Mara 15 Ikilinganishwa Na Kipindi Kama Hicho Mwaka Jana.

Kuongezeka Kwa Kasi Kwa Akili Mnemba (AI) Kumeongeza Bei Za Chipu Za Hali Ya Juu, Na Hivyo Kuongeza Utabiri Wa Kampuni Katika Robo Ya Pili.

Kampuni Hiyo Kubwa Ya Teknolojia Ya Korea Kusini Ndio Mtengenezaji Mkubwa Zaidi Duniani Wa Chipu Za Data , Simu Za Rununu Na Televisheni.

Tangazo Hilo Lilisongesha Hisa Za Samsung Hadi Zaidi Ya 2% Wakati Wa Saa Za Mapema Za Biashara Huko Seoul.

Kampuni Hiyo Pia Iliripoti Kuongezeka Kwa Zaidi Ya Mara 10 Kwa Faida Yake Kwa Miezi Mitatu Ya Kwanza Ya Mwaka Huu. Katika Robo Hii, Ilisema Inatarajia Faida Yake Kupanda Hadi 10.4tn Won ($7.54bn; £5.9bn), Kutoka 670bn Iliyopata Mwaka Jana.

 

JISAJIRI SASA NA PLAY MASTER BET - BETI KIRAHISI

BONYEZA HAPA KUJISAJIRI


Previous Post Next Post

ADVERT

ADVERT