Ujerumani Na Kenya Jana Ijumaa Zilisaini
Mkataba Wa Ajira Na Uhamiaji Kuruhusu Wafanyakazi Wenye Ujuzi Kutoka Taifa Hilo
La Afrika Mashariki Kuishi Na Kufanya Kazi Nchini Ujerumani.
Mpango Huo Utaisaidia Ujerumani Wakati
Inapambana Na Wafanyakazi Wanaozeeka Na Kupungua, Alisema Kansela Olaf Scholz Wakati
Akimkaribisha Rais Wa Kenya William Ruto Mjini Berlin.
Mkataba Huo Pia Utarahisisha Urejeshwaji
Wa Wahamiaji Haramu, Ingawa Kuna Wakenya Wachache Wanaotafuta Hifadhi Nchini Ujerumani,
Ambayo Inahifadhi Idadi Kubwa Zaidi Ya Wahamiaji Kutoka Syria Na Afghanistan Pamoja
Na Wakimbizi Wa Vita Wa Ukraine.
Kansela Scholz Alisema Kenya Inajivunia
"Idadi Kubwa Ya Wataalam Wabobezi Wa TEHAMA Na Kuogeza Kuwa Wafanyakazi
Wake Wengi Wenye Ujuzi Na Vijana Wanaweza Kuja Ujerumani Hivi Karibuni Kwa Kazi
Na Mafunzo Ya Ufundi.
Ruto Alipongeza Makubaliano Ya Ushirikiano Wa Uhamiaji Na Wafanyakazi, Ambao Alisema Utatumia "Mtaji Wa Nguvukazi Nchini Kenya, Yenye Vijana Wengi.
JISAJIRI SASA NA PLAY MASTER BET - BETI KIRAHISI
BONYEZA HAPA KUJISAJIRI