Vita Kali Kati Ya Wasanii Wa Nigeria #Davido Na #Wizkid Imeibuka
Upya!. Hii Baada Ya Shabiki Wa Big Wiz Kumuomba Wizkid Atoe Ngoma Mpya Na Kisha
Wizkid Kumjibu Kwa Kutumia Video Ya Davido Akililia Penzi La Mrembo Wa Marekani
“Pink Native”, Ambapo Kwenye Video Hiyo, Biz Wiz Aliandika Caption Ya Kumjibu
Shabiki Iliyosomeka “Niombe Kama Hivi” (Beg Me Like This) Yani Shabiki Atume
Video Akilia Kama Davido Na Amuombe Wiz Atoe Ngoma Mpya
Kama Unakumbuka Wiki Iliyopita Mrembo Wa Marekani ‘Pink Native’ Aliachia Video
Ya Davido Alivyokuwa Akililia Ampe Penzi Baada Ya Kumdanganya Kuwa Hajaoa.
Hivyo Kitendo Cha Wizkid Kutumia Video Hiyo Kimeibua Vita Kali Hadi Wawili Hao
Kutupiana Vijembe Na Davido Kumuita Wizkid Ni ‘TEJA’
“Hauna Ngoma Kubwa Tena 🤣” - Davido
“Wewe, Timu Yako Na Wanaokufulia Nguo Zako Za Ndani Mkilala Huwa Mnaniwaza Mimi
Kimuziki” - Big Wiz
- “Unajua Nini, Hamna Chakusema, Mna Wazimu Nyinyi” - Big Wiz
“Sisi Hatuna Wazimu, Ila Wewe Ni Mgonjwa” - Davido
“Hicho Ndio Nilichofikiria, Hakika Sina Chakusema, Na Ndio Maan Niliacha
Kuwekeza Mamilioni Ya Hela Kwa Mtu Ambaye Alifufuka Kimuziki Miaka Michache
Iliyopita Ili Kuja Kufa Tena” - Davido
“Sina Cha Kusema Kwako Kijana Wangu, Naweza Kustaafu Leo Na Huwezi Kufikia
Level Yangu, We Ni Influencer Tu Mwenye Mwaandishi Wa Nyimbo, Nakutakia Kila La
Kheri” — Big Wiz
“Nyie Mnaomfulia Nguo Za Ndani Na Kumuandikia Nyimbo Davido, Msaidieni Boss
Wenu Kujibu” - Big Wiz
“Wewe Ni Mpuuzi, Mvuta Unga” - Davido Akimuita Wizkid Teja Mvuta Unga Kwa
Kuacha Comment Kwenye Page Ya @theshaderoom