RAIS Wa Zanzibar Na Mwenyekiti
Wa Baraza La Mapinduzi,Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi Amemuapisha Mhe.Sharrif Ali
Sharrif Kuwa Mjumbe Wa Tume Ya Mipango Ya Zanzibar. Uapisho Huo Umefanyika Mei 26,2024
Katika Ukumbi Wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Mhe.Sharrif Ali Sharrif Ni
Mjumbe Wa Baraza La Wawakilishi Na Waziri Wa Nchi Afisi Ya Rais Kazi Uchumi Na Uwekezaji
Wa SMZ.
Tags
LOCAL