IKIWA
Na Thamani Ya Soko Ya Dola Trilioni 3.29. Hisa Za Apple Zimepanda Kwa 0.6% Na
8.8% Wiki Hii, Na Hisa Za Microsoft Zimepanda Kwa 0.1%.
Sababu
Kubwa Za Kupanda Kwa Thamani Ya Apple Ni Kwa Sababu Wiki Hii Imetambulisha
Akili Bandia Yake Ya Apple Intelligence Na Kuonyesha Ushirikiano Na Kampuni Ya
Openai Ambayo Inaongoza Kwa Akili Mnemba Kubwa Ya Chatgpt Na DALL-E.
Apple
Imetangaza Ushirikiano Na Openai Kuimarisha Baadhi Ya Vipengele Vya Akili
Bandia Ya Simu Za Iphone, Jambo Ambalo Linaweza Kuleta Wasiwasi Kuhusu Faragha
Na Usalama Wa Data Za Watumiaji.
Apple
Ilikuwa Imekaribiana Na Microsoft Ambayo Nayo Pia Ndio Mmiliki Mkubwa Wa Openai
Ya Chatgpt Na Mwaka Huu Imetangaza Kushindana Na Apple Katika Kutoa PC Ambazo
Zinatumia AI Ndani Ya Kompyuta.
Kampuni
Ambazo Zinajihusisha Na AI Zinapendwa Sana Kwenye Soko La Hisa, Wawezezaji
Wakubwa Wanawekeza Kwenye Akili Mnemba Huku Wasiwasi Unaongezeka Kuhusu Data Na
Usalama Wa AI.
JISAJIRI
SASA NA PLAY MASTER BET - BETI KIRAHISI
BONYEZA
HAPA KUJISAJIRI