MAMIA Ya Watu
Waliandamana Jana Katika Mji Mkuu Wa Tunisia Wa Tunis, Wakimuunga Mkono Rais
Kais Said Katikati Mwa Ukosoaji Mkubwa Wa Ndani Na Nje Ya Nchi Kuhusu Wimbi La
Kuwatia Kizuizini Waandishi Wa Habari, Wanaharakati Na Wanasheria. Umoja Wa Ulaya,
Ufaransa Naofisi Ya Umoja Wa Mataifa Inayoshughulikia
Haki Za Binadamu, Zilielezea Wasiwasi Kuhusu Kukamatwa Huko Na Msako
Uliofanywa Na Polisi Katika Makao Makuu Ya Chama Cha Wanasheria Mapema Mwezi
Huu. Mawakili Wawili Ambao Ni Wakosoaji Wakubwa Wa Rais Walitiwa Nguvuni.
Mapema Mwezi Huu, Polisi
Waliwakamata Watu 10, Wakiwemo Waandishi, Mawakili Na Maafisa Wa Asasi Za
Kiraia, Katika Kile Kilichotajwa Na Shirika La Kimataifa La Haki Za Binadamu La
Amnesty Internatinal Kuwa Ni Ukandamizaji. Wiki Iliyopita Mawakili Walifanya
Mgomo Wakisema Mmoja Wa Mawakili Aliyekamatwa Wakati