MAHAKAMA
NCHINI MAREKANI Imemtia Hatiani, Hunter Biden Kwa Makosa Yaliohusu Umiliki Wa
Bunduki Ya Ikiwa Ni Kesi Ya Kwanza Ya Jinai Ya Kihistoria Kumkabili Mtoto Wa
Rais Aliye Madarakani.
Mtoto
Wa Kiume Wa Rais Joe Biden Mwenye Umri Wa Miaka 54 Alipatikana Na Hatia Kwa
Makosa Yote Matatu Ya Uhalifu Yaliyotokana Na Ununuzi Wake Wa Bunduki Mwaka 2018
Akiwa Mwathirika Wa Madawa Ya Kulevya Aina Ya Cocaine.
Uamuzi Huo Unakuja Wakati Baba Yake Yupo
Katika Harakati Za Kuwania Tena Urais, Na Kufuatia Uamuzi Huo Rais Biden Mwenyewe
Kabadilisha Ratiba Yake Na Kufanya Safari Ya Kwenda Wilmington, Delaware, Mji
Wa Familia Yake Ambapo Kesi Hiyo Iliikuwa Ikisikilizwa.
Taarifa
Iliyotolewa Muda Mfupi Baada Ya Kutolewa Uamuzi Huo Biden Alionesha Upendo Na
Mshikamano Kwa Mtoto Wake. Anaweza Kukabiliwa Na Kifungo Cha Hadi Miaka 25
Jela, Ingawa Kutokana Na Makosa Yanayomkabili Na Kama Mkosaji Wa Mara Ya Kwanza
Muda Wa Kifungo Sijambo Linalotazamiwa.
JISAJIRI
SASA NA PLAY MASTER BET - BETI KIRAHISI
BONYEZA
HAPA KUJISAJIRI